![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1760294750-2b.jpeg)
Matengenezo ya barabara yaliyohusisha uwekaji wa tabaka jipya la barabara kwa kutumia lami katika eneo la Bahi kwenye barabara ya Dodoma hadi Kitinku (Km 66.7) uliofanywa kwa fedha za Serikali kupitia Mfuko wa Barabara
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1760293958-ziara ya roads fund board_25.jpeg)
Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Barabara wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Mhandisi Mussa Natty (wa kwanza kulia), wakiangalia sehemu ya mtaro (m 450) uliojengwa katika Barabara ya Dodoma hadi Kitinku (Km 66.7) katika eneo la Kizota.
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1760244788-2a.jpg)
Muonekano wa juu wa barabara ya zege ya Lutoni-Ludewa-Manda (Km214) katika eneo la Lusitu mkoani Njombe region
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1693912692-IMG_6244.jpg)
Muonekano wa Daraja jipya la Ngira mkoani Kilimanjaro lililojengwa kwa fedha za Mfuko wa Barabara
![First slide [1125x400]](https://www.roadsfund.go.tz/uploads/gallery//1682324950-Kiyegeya1.jpg)
Muonekano Daraja la Kiyegeya mkoani Morogoro lilijengwa na litakarabatiwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara